Home » News and Events » STAMICO yaendelea kuuza Makaa ya Mawe ili kukidhi mahitaji ya Viwanda vya Saruji

STAMICO yaendelea kuuza Makaa ya Mawe ili kukidhi mahitaji ya Viwanda vya Saruji

STAMICO imeanza kuuza Makaa ya Mawe ili kukidhi mahitaji ya watumiaji wa bidhaa hiyo ya madini, wakiwemo wamiliki wa Viwanda vya Saruji nchini wa Lake Cement. Hatua hii inaunga mkono juhudi za Rais Dakta John Pombe Magufuli za kujenga uchumi wa viwanda nchini na kukuza pato la Taifa.

PICHA 4 MAIN

PICHA 1

 

 

 

 

PICHA 2

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

PICHA 3

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

==============================MWISHO=============================================

Imeandaliwa na:

Koleta Njelekela
Meneja Masoko na Mawasiliano kwa Umma,
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO),
S.L.P 4958,
Dar es Salaam.
Simu: +255-22-2150029, 
Barua Pepe: info@stamico.co.tz
Tovuti: http://www.stamico.co.tz

 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

Copyright © 2018 State Mining Corporation. All Rights Reserved.