Home » images » Maonesho ya Tatu ya Madini ya Vito, 2014

Maonesho ya Tatu ya Madini ya Vito, 2014

Maonesho ya Madini ya Vito Arusha

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji – STAMICO Mha. Edwin Ngonyani (wa pili kulia) akimsikiliza Bw. Sailesh Pandit Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Signature Gems na Mdau mkubwa wa Madini ya Tanzanite walipotembelea kwenye ofisi zake Jijini Arusha jana, wengine ni; kutoka kushoto Mw/kiti wa Bodi ya Washauri wa Madini Bw. Richard Kasesela, Kamishna wa Madini Mha. Paul Masanja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Mha. Ngosi Mwihava.

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

Copyright © 2017 State Mining Corporation. All Rights Reserved.