Home » images » Maonesho ya Tatu ya Madini ya Vito Jijini Arusha

Maonesho ya Tatu ya Madini ya Vito Jijini Arusha

Maadhimisho ya Madini ya Vito Arusha.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji – STAMICO Mha. Edwin Ngonyani (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa Wizara ya Nishati na Madini na wadau wa Madini ya Vito kwenye viwanja vya Mount Meru Hotel jijini Arusha mara baada ya kuzinduliwa kwa Maonesho ya Tatu ya Madini ya Vito.

Wengine ni, kutoka kushoto mstari wa mbele ni; Kamishna msaidizi wa Madini Kanda ya ziwa Magharibi Mha. David Mulabwa, Mwenyekiti wa Chama cha Wachimbaji wadogo (FEMATA) Bw. Greygory Kibusi, Kamishna wa Madini Mha. Paul Masanja, Naibu Katibu Mkuu, Mha. Ngosi Mwihava na Mw/kiti wa TAMIDA Bw. Sammi Mollel.

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

Copyright © 2017 State Mining Corporation. All Rights Reserved.