Home » images » Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Kitwanga atembelea STAMICO

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Kitwanga atembelea STAMICO

Baadhi ya wafanyakazi wa STAMICO wakiwa kwenye chumba cha mikutano cha Shirika wakimsikiliza Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Mhe. Charles Kitwanga alipotembelea STAMICO na kuzungumza na wafanyakazi.

Baadhi ya wafanyakazi wa STAMICO wakiwa kwenye chumba cha mikutano cha Shirika wakimsikiliza Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Mhe. Charles Kitwanga alipotembelea STAMICO na kuzungumza na wafanyakazi mapema leo.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Mha. Edwin Ngonyani akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Mhe. Charles Kitwanga alipotembelea STAMICO kuzungumza na wafanyakazi (hawapo pichani).

Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Madini), Mhe. Charles Kitwanga akisaini kitabu cha wageni wakati wa ziara yake STAMICO akiwa na mwenyeji wake Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Mha. Edwin Ngonyani.

Copyright © 2017 State Mining Corporation. All Rights Reserved.