Home » Events » MRADI WA KIWIRA KUWAKUTANISHA STAMICO NA TANESCO

MRADI WA KIWIRA KUWAKUTANISHA STAMICO NA TANESCO

Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na Shirika la Ugavi TANESCO yakutana katika kikao cha pamoja kujadili namna ya kuendeleza mradi wa makaa ya mawe wa Kiwira wa kuzalisha umeme MW 200 pamoja na kujenga njia ya kusafirishia umeme yenye urefu wa kilometa 100.

Kikao hicho kimefanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ofisi za STAMICO Makao makuu.

IMG_5288

Watumishi wa Shirika la ugavi la Umeme kushoto ni Bw.Rwabanzi Lutenganya na Mha. John Kabadi walipohudhuria kikao katika ofisi za STAMICO

Watumishi wa Shirika la ugavi la Umeme kushoto ni Bw.Rwabanzi Lutenganya na Mha. John Kabadi walipohudhuria kikao katika ofisi za STAMICO

Watumishi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) katika mkutano baina ya STAMICO na TANESCO.

Watumishi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) katika mkutano baina ya STAMICO na TANESCO.

==============================MWISHO=============================================

Imeandaliwa na:

Koleta Njelekela

Meneja Masoko na Mawasiliano kwa Umma,

Shirika la Madini la Taifa (STAMICO),

S.L.P 4958,

Dar es Salaam.

Simu: +255-22-2150029, 

Barua Pepe: info@stamico.co.tz

Tovuti: http://www.stamico.co.tz

Copyright © 2019 State Mining Corporation. All Rights Reserved.