Home » images » Mradi wa Umeme Vijijini

Mradi wa Umeme Vijijini


maswi

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Bw. Eliakim Maswi (kushoto)akimweleza jambo mgeni aliyefika katika Banda la Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) aliyetaka kufahamu kuhusu Mradi wa Umeme Vijijini unaosimamiwa na Wakala wa Umeme Vijijini (REA). Wa pili kulia anayesikiliza ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava na katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Nishati na Madini Bibi Badra Masoud.

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

Copyright © 2017 State Mining Corporation. All Rights Reserved.