Home » Events » STAMICO YAFANYA MKUTANO NA WADAU

STAMICO YAFANYA MKUTANO NA WADAU

Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) yafanya mazungumzo na taasis za fedha ili kuangalia namna ya kupata mtaji kwa ajili ya kuanzisha miradi yenye tija. Stamico imekutana na Benki ya maendeleo (TIB) pamoja Benki ya Africa (BOA) katika vikao vilivyofanyika kwa muda tofauti. Vikao hivyo vimefanyika mapema mwezi huu ,STAMICO Makao makuu.

Kaimu Mkurugenzi wa Uwekezaji na Mipango STAMICO Bw. Aloyce Tesha akiongelea miradi ya STAMICO inayohitaji Mitaji kutoka taasis za fedha katika kikao cha pamoja na Benki ya TIB

Kaimu Meneja wa Uwekezaji na Mipango Bi Nsalu Nzowa wa STAMICO (katikati) akichangia hoja katika kikao cha pamoja kati ya STAMICO na  Benki ya TIB

Wafanyakazi wa STAMICO pamoja na wafanyakazi wa Benki ya TIB walipohudhuria kikao cha kujadili na kuiwezesha STAMICO kuendeleza miradi yake katika ofisi za STAMICO

Meneja wa huduma za Ushauri TIB, Bi Colleta Ndunguru-Mnzava akiongea jinsi Benki ya TIB ilivyojipanga kusaidia miradi ya Maendeleo

Wafanyakazi wa benki ya TIB walipohudhuria kikao cha kujadili na kuiwezesha STAMICO kuendeleza miradi yake katika ofisi za STAMICO

Kaimu Mkurugenzi wa Uwekezaji na Mipango STAMICO  Bw. Aloyce Tesha akiongelea miradi ya STAMICO na jinsi STAMICO inavyoweza kushirikiana na a taasis mbalimbali za fedha  kupata mtaji wa kuendeleza miradi hiyo wakati walipokutana na Benki ya Africa (BOA)  hapo jana STAMICO Makao Makuu.

Bw. Joel Mvungi (Relationship Manager- Trade Finance) akiongea jinsi Benki ya BOA ilivyojipanga kutoa mitaji ili kusaidia uwekezaji.

Watumishi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) katika kikao cha pamoja kati ya STAMICO na  BOA Benki

==============================MWISHO=============================================

Imeandaliwa na:

Koleta Njelekela

Meneja Masoko na Mawasiliano kwa Umma,

Shirika la Madini la Taifa (STAMICO),

S.L.P 4958,

Dar es Salaam.

Simu: +255-22-2150029, 

Barua Pepe: info@stamico.co.tz

Tovuti: http://www.stamico.co.tz

Copyright © 2019 State Mining Corporation. All Rights Reserved.