Home » News and Events » STAMICO yakutana na kampuni ya Joto Ardhi (TGDC)

STAMICO yakutana na kampuni ya Joto Ardhi (TGDC)

Katika harakati za kukuza ushirikianao na wadau wake, STAMICO imekutana na Kampuni ya Joto Ardhi (TGDC) ambayo ni kampuni tanzu ya TANESCO kuangalia maeneo ya ushirikiano katika utafiti, uchorongaji na Mafunzo. Taratibu za kukamilisha nyaraka za kisheria kuhusu ushirikiano wa pande hizo mbili zinaendelea.PICHA 13 MAIN PICHA 14 PICHA 15 PICHA 16

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

==============================MWISHO=============================================

Imeandaliwa na:

Koleta Njelekela

Meneja Masoko na Mawasiliano kwa Umma,

Shirika la Madini la Taifa (STAMICO),

S.L.P 4958,

Dar es Salaam.

Simu: +255-22-2150029, 

Barua Pepe: info@stamico.co.tz

Tovuti: http://www.stamico.co.tz

 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

Copyright © 2018 State Mining Corporation. All Rights Reserved.