Home » Events » STAMICO YASHIRIKI KATIKA UANZISHAJI WA KANZIDATA YA MIRADI YA MAENDELEO NA MIFUMO YA KIELEKTRONIKI

STAMICO YASHIRIKI KATIKA UANZISHAJI WA KANZIDATA YA MIRADI YA MAENDELEO NA MIFUMO YA KIELEKTRONIKI

Watumishi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) wakutana na Wataalam kutoka Tume ya Mipango wanaoshughulika na uandaaji wa Kanzidata ya Miradi ya Maendeleo na Mifumo ya Kielektroniki kuzungumzia namna ya kuingiza miradi ya sekta ya madini katika mfumo huo. Mfumo huo utasaidia kuweka wazi taarifa za miradi na kurahisisha upatikaji wa taarifa za Miradi.

Kikao hicho kimefanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ofisi za STAMICO Makao makuu.

Kaimu Meneja wa Uwekezaji na mipango Bi Nsalu Nzowa akitoa hoja wakati wa kikao cha wataalam kuhusu kanzidata Ya miradi ya Maendeleo

Kaimu Meneja wa Uwekezaji na mipango Bi Nsalu Nzowa akitoa hoja wakati wa kikao cha wataalam kuhusu kanzidata Ya miradi ya Maendeleo

Watumishi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) wakisikiliza hoja kutoka kwa wataalam wa Tume ya Mipango kuhusu mfumo wa taarifa za miradi katika kanzidata ya miradi ya nchi.

Watumishi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) wakisikiliza hoja kutoka kwa wataalam wa Tume ya Mipango kuhusu mfumo wa taarifa za miradi katika kanzidata ya miradi ya nchi.

Mtaalamu Bw. Fredrick Kalinga Afisa Biashara akitoa maelekezo kuhusu taarifa zinazotakiwa kuwekwa katika mfumo huo wa taarifa za miradi katika kanzidata ya nchi.

Mtaalamu Bw. Fredrick Kalinga Afisa Biashara akitoa maelekezo kuhusu taarifa zinazotakiwa kuwekwa katika mfumo huo wa taarifa za miradi katika kanzidata ya nchi.

Wataalam wa mfumo wa kuweka taarifa za miradi katika kanzidata ya miradi ya nchi kutoka Tume ya Mipango wakiwa katika kikao hicho.

Wataalam wa mfumo wa kuweka taarifa za miradi katika kanzidata ya miradi ya nchi kutoka Tume ya Mipango wakiwa katika kikao hicho.

==============================MWISHO=============================================

Imeandaliwa na:

Koleta Njelekela

Meneja Masoko na Mawasiliano kwa Umma,

Shirika la Madini la Taifa (STAMICO),

S.L.P 4958,

Dar es Salaam.

Simu: +255-22-2150029, 

Barua Pepe: info@stamico.co.tz

Tovuti: http://www.stamico.co.tz

Copyright © 2019 State Mining Corporation. All Rights Reserved.