Home » News and Events » STAMICO yatia “fora” maonyesho ya Sabasaba 2016

STAMICO yatia “fora” maonyesho ya Sabasaba 2016

Picha za matukio mbalimbali kwenye Banda la STAMICO wakati maonyesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu   kama SABASABA 2016.

Kaimu Mkurugenzi wa Raslimali Watu na Utawala wa STAMICO Bw. Deusdedit Magala akitoa maelezo mafupi kwa Naibu Katibu Mkuu (Nishati) Dr. Mhandisi Juliana Pallangyo alipotembelea Banda la STAMICO kwenye maonyesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama SABASABA

Kaimu Mkurugenzi wa Raslimali Watu na Utawala wa STAMICO Bw. Deusdedit Magala mwenye koti akitoa maelezo mafupi kwa Naibu Katibu Mkuu (Nishati) Dr. Mhandisi Juliana Pallangyo alipotembelea Banda la STAMICO kwenye maonyesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama SABASABA

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini (Madini) Prof. James Mdoe akitoa maelekezo kuhusu Wachimbaji wadogo mara baada ya kupata taarifa fupi kuhusu Wachimbaji wadogo alipotembelea Banda la STAMICO kwenye maonyesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama SABASABA

Wanachi mbalimbali wakiwa kwenye Banda la STAMICO wakiuliza maswali mbalimbali na kupatiwa ufafanuzi na wataalam.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Bi. Zena Kongoi akitoa maelezo kwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini (Madini) Prof. James Mdoe kuhusu Wachimbaji wadogo alipotembelea Banda la STAMICO

Wananchi wakijiandikisha kwenye kitabu maalum baada ya kupata maelezo waliyohitaji kujua kuhusu STAMICO na STAMIGOLD na sekta ya Madini kwa ujumla.

Wananchi wakijiandikisha kwenye kitabu maalum baada ya kupata maelezo waliyohitaji kujua kuhusu STAMICO na STAMIGOLD na sekta ya Madini kwa ujumla.

Wanachi mbalimbali wakiwa kwenye Banda la STAMICO wakiuliza maswali mbalimbali na kupatiwa ufafanuzi na wataalam.

Wanachi mbalimbali wakiwa kwenye Banda la STAMICO wakiuliza maswali mbalimbali na kupatiwa ufafanuzi na wataalam.

Wanachi mbalimbali wakiwa kwenye Banda la STAMICO wakiuliza maswali mbalimbali na kupatiwa ufafanuzi na wataalam.

Wanachi mbalimbali wakiwa kwenye Banda la STAMICO wakiuliza maswali mbalimbali na kupatiwa ufafanuzi na wataalam.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Bi. Zena Kongoi mwenyekoti la Kijani akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa STAMICO na STAMIGOLD wanaotoa huduma kwa Wananchi wanaotembelea Banda la STAMICO

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Bi. Zena Kongoi akisalimiana na watumishi wa STAMICOna STAMIGOLD wanaotoa huduma mbalimbali kwa Wananchi wanaotembelea banda la STAMICO kwenye maonyesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama SABASABA

Copyright © 2018 State Mining Corporation. All Rights Reserved.