Home » images » Utekelezaji wa Sheria ya Madini

Utekelezaji wa Sheria ya Madini

Wakuu-wa-MikoaNaibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele (aliyekaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Mikoa yote ya Tanzania Bara, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Wenyeviti wa Halmashauri, Viongozi wa Dini na baadhi ya Watendaji wa Wizara, mara baada ya kufungua mkutano uliojadili utekelezaji wa Sheria ya Madini uliofanyika jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto (waliokaa) ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Said Meck Sadik, Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mwantumu Mahiza, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Abbas Kandoro ambaye pia ni Mwenyekiti wa Wakuu wa Mikoa, Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi na Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI, Deodatus Mtesiwa.

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

Copyright © 2017 State Mining Corporation. All Rights Reserved.