Home » News and Events » Utoaji ruzuku awamu ya tatu kwa wachimbaji wa madini wadogo-2017

Utoaji ruzuku awamu ya tatu kwa wachimbaji wa madini wadogo-2017

mem

Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini, kwa kushirikiana na Benki ya Dunia (WB) itatoa Ruzuku ya jumla ya Shilingi Bilioni 7.481 kwa Wachimbaji Madini Wadogo 59 ambapo kiwango cha juu cha Ruzuku kwa Kikundi/Mtu binafsi ni Shilingi Milioni 210.

Hafla ya utoaji wa Ruzuku hiyo itafanyika siku ya Jumanne, tarehe 17 Januari 2017, Mjini Mpanda mkoani Katavi, Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim M. Majaliwa (Mb.)

Kwa taarifa zaidi kuhusu hafla hiyo ya utoaji ruzuku tafadhali bonyeza¬†hapa…

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

Copyright © 2018 State Mining Corporation. All Rights Reserved.