Home » images » Wabunge

Wabunge

madini2

Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kaskazini, Murtaza Mangungu (wa kwanza kushoto) akieleza jambo katika mkutano kati ya watendaji wa Kamisheni ya Gesi na Mafuta ya Jimbo la British Columbia nchini Canada pamoja na ujumbe kutoka Tanzania ukiongozwa na Naibu Waziri Nishati na Madini, Charles Kitwanga (wa tano kutoka kushoto).Wengine katika picha ni Mwenyekiti Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Victor Mwambalaswa (wa nne kutoka kushoto) Mbunge wa Ngara, Deogratias Ntukamazina (wa pili kutoka kushoto), Richard Ndasa (Mb. Sumve), (wa tatu kutoka kushoto), Raya Ibrahim (Mb.) (wa pili kutoka kulia) pamoja na watendaji kutoka Wizara ya Nishati . Katikati ni Mhandisi. Ken Paulson, Afisa Mkuuwa Operesheni katika Kamisheni ya Gesi na Mafuta ya Jimbo la BritishColumbia nchini Canada.

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

Copyright © 2017 State Mining Corporation. All Rights Reserved.