Home » News and Events » Wafanyakazi STAMICO wampongeza Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mha. John Nayopa

Wafanyakazi STAMICO wampongeza Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mha. John Nayopa

Wafanyakazi STAMICO wamempongeza Kaimu Mkurugenzi mpya wa STAMICO Mhandisi John Nayopa kwa uongozi wake makini na uthubutu wake katika kulitumikia Shirika na Taifa. Wasema ziara yake ya hivi karibuni ni ya kihistoria na imeleta hamasa kubwa ya ubunifu na utekelezaji miradi endelevu na yenye tija kwa Taifa.

PICHA 5 MAIN PICHA 6 PICHA 7 PICHA 8 PICHA 10 MAIN PICHA 11 PICHA 12

PICHA 9

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

==============================MWISHO=============================================

Imeandaliwa na:

Koleta Njelekela

Meneja Masoko na Mawasiliano kwa Umma,

Shirika la Madini la Taifa (STAMICO),

S.L.P 4958,

Dar es Salaam.

Simu: +255-22-2150029, 

Barua Pepe: info@stamico.co.tz

Tovuti: http://www.stamico.co.tz

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

Copyright © 2018 State Mining Corporation. All Rights Reserved.