Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

State Mining Corporation

State Mining Corporation

News

MIAKA HAMSINI YA STAMICO , WACHIMBAJI WADOGO WAIMWAGIA SIFA STAMICO


Chama cha wachimbaji wanawake Tanzania ( TAWOMA) kimeipongeza STAMICO kwa kutoa Zawadi ya kutimiza miaka 50 ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wa Shirika kwa chama hicho.


Pia, Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo (FEMATA) wamepongeza na kushukuru kwa kuwa mstari wa mbele katika kuwasaidia wachimbaji wadogo nchini.