Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Shirika la Madini la Taifa

Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Rafiki Briquettes ni bidhaa ya mkaa inayotokana na makaa ya mawe yanayozalishwa na STAMICO kupitia viwanda vyake vya Kiwira, Kisarawe na Tirdo.Bidhaa hii ni rafiki kwa matumizi ya majumbani, kwenye taasisi mbalimbali na sehemu za biashara ya chakula, kwani ni nafuu kwa bei na unadumu kwa muda mrefu....
Ndiyo, STAMICO (Shirika la Madini la Taifa)  huuza madini. Inahusika katika shughuli mbalimbali za uchimbaji madini, ikijumuisha uchunguzi, maendeleo, na uzalishaji wa madini kama makaa ya mawe na kokoto. Pia wanahusika katika kununua na kuuza madini.
State Mining Corporation (STAMICO), a wholly owned Government enterprise, is a under the Ministry of Minerals established by the Public Corporation Act cap 257 through State Mining Corporation Establishment Order No. 163 of 1972 as amended in 2014. The Corporation which became operational...
Mrejesho, Malalamiko au Wazo