Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Shirika la Madini la Taifa

Kampuni Tanzu

Kampuni tanzu ni kampuni zinazomilikiwa na Shirika na zinajiendesha zenyewe. Kampuni hizi zinasimamiwa na Meneja Mkuu anayewajibika moja kwa moja kwa Mkurugenzi Mtendaji. Kwa sasa Shirika lina Kampuni Tanzu moja ya mgodi wa dhahabu wa STAMIGOLD Biharamulo.

Mgodi wa dhahabu wa Biharamulo unamilikiwa na Serikali kupitia STAMICO. Shughuli za uendelezaji wa mgodi zinasimamiwa na Kampuni Tanzu ya STAMICO ijulikanayo kwa jina la STAMIGOLD Company Limited. STAMICO inamiliki asilimia 99 ya Hisa za Kampuni hiyo na Ofisi ya Msajili wa Hazina inamiliki asilimia 1 ya Hisa.

Mrejesho, Malalamiko au Wazo