Majukumu yetu
Majukumu yetu
1. Kuwekeza kwenye miradi ya kimkakati ya utafutaji na uchimbaji wa Madini.
2. Kuwekeza katika shughuli za uchenjuaji , uongezaji thamani na uuzaji Madini.
3. Kutoa huduma za kibiashara za uchorongaji wa miamba na utafutaji wa Madini.
4. Kutoa huduma za ushauri za kitaalamu na kiufundi katika Sekta ya Madini zikihusisha ushauri wa kijiolojia, kihandisi, kimazingira pamoja na uandaaji wa upembuzi yakinifu wa miradi ya Madini.
5. Kuratibu uendelezaji wa wachimbaji wadogo nchini kwa kutoa ushauri wa kitaalamu kwa wachimbaji hao.