News
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Isdori Philip Mpango akiwa katika Banda la STAMICO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania *Mhe.Dkt. Isdori Philip Mpango*, akitembelea banda la maonesho la *STAMICO* katika Hafla ya uzinduzi wa Wiki ya Madini inayofanyika Jijini Dodoma, leo tarehe 20 Juni 2024.