Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

State Mining Corporation

State Mining Corporation

News

STAMICO YAINGIA MKATABA WA USHIRIKIANO NA KAMPUNI YA PT Mineral Industri Indonesia (PERSERO)


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakishuhudia utiaji saini Hati za Makubaliano kati ya Tanzania na Indonesia iliyotiwa saini na Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO Dkt. Venance Mwasse na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Madini ya PT Mineral Industri Indonesia (PERSERO) Dany Amrul Ichdan Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 22 Agosti, 2023.