Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

State Mining Corporation

State Mining Corporation

News

STAMICO yakutana na kampuni ya Ivaldi


STAMICO yakutana na kampuni ya Ivaldi ambao ni watengenezaji wa spare parts za machine na mashine zenyewe kwa kutumia teknolojia ya 3D Printing, kujadili jinsi wanavyoweza kufanya kazi kwa pamoja katika kuzifanyia matengenezo mashine au Mitambo mbalimbali za STAMICO zikiwemo rigs na Mashine zingine za uchimbaji na zile zilizopo kwenye miradi mengine kama kwenye makaa ya mawe na kwenye uzalishaji wa Mkaa Mbadala, Kokoto na Utengenezaji spare parts zake.