Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

State Mining Corporation

State Mining Corporation

News

STAMICO YANG'ARA TENA YANYAKUA TUZO MBILI


Shirika la Madini la Taifa(STAMICO) leo tarehe 26 Agosti 2023 limeendelea kung'ara baada ya kushinda tuzo mbili(2), Tuzo ya Mdhamini wa Maonesho na Tuzo ya Uwezeshaji Wachimbaji Wadogo zilizotolewa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa katika kilele cha Maonesho ya Madini na Fursa za uwekezaji jana Agosti 26, 2023 Mkoani Lindi.