News
STAMICO YATOA GAWIO LA 1.1 BILION
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)akikabidhi kiasi cha shiling 1.1 bilioni inayotokana na mapato ya shirika kwa mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Joseph Magufuri