Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

State Mining Corporation

State Mining Corporation

News

Wanawake na Samia Geita watoa zawadi kwa Dr.Venance Mwasse


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule leo Disemba 21, 2023 amekabidhi zawadi kwa niaba ya wanawake na Samia Geita kwa Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO Dr.Venance Mwasse.

Makabidhiani hayo yamefanyika kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma jengo la Mkapa.

Mhe.Sanyamule amempongeza Dr.Mwasse kwa juhudu za kuwaunganisha akina Mama kwenye vikundi kwa ajili ya kufanya biashara kwenye sekta ya Madini kwa lengo la kuwaongezea kipato .