Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

State Mining Corporation

State Mining Corporation

News

ZIARA YA MWENYEKITI WA BODI YA STAMICO KWENYE MAONESHO YA UWEKEZAJI - LINDI


Mwenyekiti wa Bodi ya STAMICO Meja Jenerali(Mst) Michael Isamuhyo akiwa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO Dkt. Venance Mwasse wakitembelea baadhi ya mabanda mbalimbali katika Maonesho ya Madini na Fursa za uwekezaji yanayoendelea katika Viwanja vya kilimahewa Ruangwa Mkoani Lindi