Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Shirika la Madini la Taifa

STAMICO yashiriki Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Zanzibar

Imewekwa: 11 March, 2025
STAMICO yashiriki Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Zanzibar

STAMICO yashiriki Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Zanzibar yenye kaulimbiu ya Tuimarishe Uchumi ,Uzalendo na Amani kwa Maendeleo ya Taifa Letu yanayofanyika katika viwanja vya Maonesho vya Nyamanzi Wilayani Magharibi B, Zanzibar. Maonesho haya yamefunguliwa rasmi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi.

Mrejesho, Malalamiko au Wazo