Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Shirika la Madini la Taifa

Wanawake na Samia Geita watoa zawadi kwa Dr.Venance Mwasse

Imewekwa: 11 March, 2025
Wanawake na Samia Geita watoa zawadi kwa Dr.Venance Mwasse

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule leo Disemba 21, 2023 amekabidhi zawadi kwa niaba ya wanawake na Samia Geita kwa Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO Dr.Venance Mwasse.

Makabidhiani hayo yamefanyika kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma jengo la Mkapa.

Mhe.Sanyamule amempongeza Dr.Mwasse kwa juhudu za kuwaunganisha akina Mama kwenye vikundi kwa ajili ya kufanya biashara kwenye sekta ya Madini kwa lengo la kuwaongezea kipato

Mrejesho, Malalamiko au Wazo