Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

State Mining Corporation

State Mining Corporation

News

Washiriki wa miss Dodoma 2021 wavutiwa na Matumizi ya Makaa ya mawe katika Banda la STAMICO


Baadhi ya washiriki wa kinyang'anyiro cha miss Dodoma 2021(wenye mavazi ya bendera ya rangi ya Taifa)watembelea banda la STAMICO wavutiwa na uwepo wa mkaa mbadala wa makaa ya mawe ambao utasidia kuokoa misitu, waahidi kuwa mabalozi watakao elimisha wengine kuhusu utunzaji wa mazingira kwa kutumia nishati mbadala.

Tanzania Census 2022