RAFIKI BRIQUETTES YAWA KIVUTIO KWENYE MKUTANO WA NISHATI KWA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA ULIOFANYIKA TAREHE 27 NA 28 JANUARI 2025 DAR ES SALAAM
RAFIKI BRIQUETTES YAWA KIVUTIO KWENYE MKUTANO WA NISHATI KWA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA ULIOFANYIKA TAREHE 27 NA 28 JANUARI 2025 DAR ES SALAAM
Imewekwa: 12 March, 2025
Katika Mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika kuhusu Nishati. STAMICO imepeleka bidhaa yake ya Rafiki Briquettes na kuwa kivutio kikubwa kwa washiriki waliohudhuria Mkutano huo ambao walitembelea banda la STAMICO.
Nishati safi ya kupikia ya Rafiki Briquettes ni ubunifu mkubwa uliofanywa na STAMICO kwa kutumia makaa ya mawe katika kutengeneza Nishati hiyo ambayo imekuwa mkombozi mkubwa kwa watumiaji wa majumbani,taasisi na mashuleni kwani ni rafiki kwa bei,rafiki kwa mazingira pia ni rafiki kwa matumizi kutokana na kuwa unadumu kwa zaidi ya masaa matatu.