Rais kusafiri kwenda marekani
Rais kusafiri kwenda marekani
08 November, 2024
Pakua
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuondoka nchini leo tarehe 29 Oktoba, 2024 kuelekea Des Moines, Iowa, nchini Marekani kuhudhuria Mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug ulioandaliwa na Taasisi ya World Food Prize Foundation ya nchini humo.