News
MHE. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ATEMBELEA BANDA LA STAMICO
Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @samia_suluhu_hassan akiwa katika banda la STAMICO akijionea bidhaa mpya ya Mkaa Mbadala unatokana na Makaa ya Mawe (Rafiki Briquettes). Wakati Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari yaliyofanyika katika jiji la Arusha kuanzia tarehe 1 hadi 3 Mei 2022.