Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

State Mining Corporation

State Mining Corporation

News

STAMICO YAFUNIKA KATIKA NYANJA YA USIMAMIZI NA UTAWALA BORA


Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limetunukiwa cheti cha usimamizi bora wa Utawala na Rasilimali watu kwa kushika nafasi ya pili baada ya kushindanishwa na Mashirika mengine ya Umma na kampuni za Serikali."Outstanding Perfomance in Administration & Human Resources management in Public Service"

Cheti hicho kimetolewa na Mhe. Ummy Mwalimu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI wakati wa kikao kazi cha wakuu wa Idara ya Rasilimali Watu kilichofanyika Dodoma tarehe 21 na 22 June 2021.