Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

State Mining Corporation

State Mining Corporation

News

STAMICO YAZINDUA VIFAA VYA KISASA VYA UCHIMBAJI MADINIKatibu Mkuu Wizara ya Madini Profesa Simon Msanjila pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Madini Tanzania STAMICO Dkt.Venance Mwasse wakikata utepe kushiria uzinduzi wa vifaa vipya na vya kisasa vya uchimbaji wa madini.