Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

State Mining Corporation

State Mining Corporation

News

Ushindi ni Raha!


Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) leo katika uzinduzi wa Maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) imefanikiwa kuwa mshindi wa jumla katika washiriki wote kwenye hayo maonesho kuwa na Banda Bora zaidi.