Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Shirika la Madini la Taifa

PICHA ZA MATUKIO KATIKA HAFLA YA UTIAJI SAINI WA MASHIRIKIANO KATI YA STAMICO NA PLANTCOR

Stamico imeingia Mkataba wa mashirikiano wa utafiti wa uchimbaji wa Madini katika leseni zake za Kigosi zilizopo Wilayani Bukombe Mkoa wa Geita na Kampuni ya Plantcor ya Afrika Kusini.
Mrejesho, Malalamiko au Wazo