Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Shirika la Madini la Taifa

Wachimbaji Wadogo

- Kuwezesha Wachimbaji wadogo kupata taarifa za kijiolojia kwa gharama ya ruzuku kupitia uchunguzi (Utafiti wa kijiofizikia wa ardhini, Uchimbaji na sampuli, utambuzi na kuripoti) 
- Kukuza na Kutoa ujuzi katika uchimbaji madini na uchenjuaji madini kupitia mafunzo ya vitendo na vituo vya mfano 
- Kuimarisha upatikanaji wa mitaji kwa kuunganisha Wachimbaji wadogo na taasisi za fedha na makampuni yanayosambaza vifaa vya uchimbaji madini na madini
- Kuimarisha upatikanaji wa masoko ya madini katika masoko ya ndani na maonyesho ya kimataifa 
- Kuimarisha uchimbaji madini kwa njia ya mafunzo ya Usalama, Afya Kazini na Usimamizi wa Mazingira.
Mrejesho, Malalamiko au Wazo