HAFLA YA UZINDUZI WA KIWANDA CHA CHUMVI ENEO LA LINGAULE KILWA LINDI MGENI RASMI NI WAZIRI WA MADINI MHE. ANTHONY P. MAVUNDE
HAFLA YA UZINDUZI WA KIWANDA CHA CHUMVI ENEO LA LINGAULE KILWA LINDI MGENI RASMI NI WAZIRI WA MADINI MHE. ANTHONY P. MAVUNDE
25 May, 2026
Shirika la Madini la Taifa ( STAMICO ) linatarajia kufanya uzinduzi wa Kiwanda chake cha kuchakata na kuiongezea thamani chumvi siku ya tarehe 29 Mei, 2026 katika eneo la Lingaule, Kilwa Mkoani Lindi. Mgeni Rasmi katika uzinduzi huo anatarajiwa kuwa Waziri wa Madini Mhe. Anthony P. Mavunde. Uwepo wa kiwanda hicho inakwenda kutatua changamoto ya soko la chumvu kwa mikoa ya kusini.