Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Shirika la Madini la Taifa

ZIARA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI KIWANDA CHA RAFIKI BRIQUETTES TABORA

Shirika limetembelewa na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini leo tarehe 12 March, 2026 kwa ajili ya kukagua mradi wa kuzalisha Nishati safi ya kupikia ya Rafiki Briquettes inayozalishwa na STAMICO
Mrejesho, Malalamiko au Wazo