TAMASHA LA KILELE CHA WIKI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA YA RAFIKI BRIQUETTES MKOA WA DAR ES SALAAM
TAMASHA LA KILELE CHA WIKI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA YA RAFIKI BRIQUETTES MKOA WA DAR ES SALAAM
22 December, 2024
08:00:00 - 18:00:00
Mwembe Yanga Grounds - Temeke, Dsm.
info@stamico.co.tz
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke Mhe: Abdallah Mtinika akimkabidhi Cheti cha Uwakala na Usambazaji wa Nishati Safi ya kupikia ya Rafiki Briquettes mmoja wa kundi la Wanawake na Samia Mkoa wa Dar es salaam.
Shirika la Madini la Taifa(Stamico) limekuwa mlezi mkubwa wa makundi ya Wanawake na Samia ambayo yapo kila Mkoa, ambapo Stamico huyawezesha makundi haya kwa kuwapa Uwakala wa Usambazaji wa Rafiki Briquettes na kuwawezesha nyenzo mbalimbali za kuwainua kiuchumi.