Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Shirika la Madini la Taifa

TAMASHA LA KILELE CHA WIKI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA YA RAFIKI BRIQUETTES MKOA WA DAR ES SALAAM

22 December, 2024
08:00:00 - 18:00:00
Mwembe Yanga Grounds - Temeke, Dsm.
info@stamico.co.tz

Wanawake na Samia Mkoa wa Dar es salaam wakiongozwa na Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Dar es salaam Mhe: Janeth Masaburi wakiwa katika Sherehe za Wiki ya Nishati safi ya kupikia ya Rafiki Briquettes iliyoandaliwa na Shirika la Madini la Taifa (Stamico) lililofanyika katika Viwanja vya Mwembe Yanga Manispaa ya Temeke Mkoa wa Dar es salaam tarehe 22/12/2024.
Tamasha likiwa na lengo la kuhamasisha jamii juu ya matumizi ya Nishati safi ya kupikia ya Rafiki Briquettes na kuondokana na matumizi ya Nishati chafu ya kuni na mkaa wa miti ili kuweza kulinda, kutunza na kuyaacha mazingira yakiwa salama.

TAMASHA LA KILELE CHA WIKI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA YA RAFIKI BRIQUETTES MKOA WA DAR ES SALAAM
Mrejesho, Malalamiko au Wazo