TAMASHA LA KILELE CHA WIKI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA YA RAFIKI BRIQUETTES MKOA WA DAR ES SALAAM
TAMASHA LA KILELE CHA WIKI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA YA RAFIKI BRIQUETTES MKOA WA DAR ES SALAAM
22 December, 2024
08:00:00 - 18:00:00
Mwembe Yanga Grounds - Temeke, Dsm.
info@stamico.co.tz
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke Mhe Abdallah Mtinika akihutubia katika Tamasha la Wiki ya Nishati safi ya kupikia ya Rafiki Briquettes iliyofanyika katika Viwanja vya Mwembe Yanga Temeke Mkoa wa Dar es Salaam tarehe 22/12/2024, Agenda ikiwa ni kuhamasisha matumizi ya Nishati safi ya Kupikia ya Rafiki Briquettes inayozalishwa na Stamico.