Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

State Mining Corporation

State Mining Corporation

News

STAMICO ya Shiriki Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Zanzibar


STAMICO yashiriki Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Zanzibar yenye kaulimbiu ya Tuimarishe Uchumi ,Uzalendo na Amani kwa Maendeleo ya Taifa Letu yanayofanyika katika viwanja vya Maonesho vya Nyamanzi Wilayani Magharibi B, Zanzibar. Maonesho haya yamefunguliwa rasmi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi.