TAMASHA LA KILELE CHA WIKI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA YA RAFIKI BRIQUETTES MKOA WA DAR ES SALAAM
TAMASHA LA KILELE CHA WIKI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA YA RAFIKI BRIQUETTES MKOA WA DAR ES SALAAM
22 December, 2024
08:00:00 - 18:00:00
Mwembe Yanga Grounds - Temeke, Dsm.
info@stamico.co.tz
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) CPA DKT, Venance Bahati Mwasse akihutubia katika Tamasha la Nishati safi ya kupikia ya Rafiki Briquettes iliyofanyika tarehe 22/12/2024 katika Viwanja vya Mwembe Yanga Manispaa ya Temeke Mkoani Dar es salaam.
Tamasha hilo limeandaliwa na STAMICO ili kuhamasisha matumizi ya Nishati safi ya kupikia na kuondokana na matumizi ya mkaa wa miti na kuni ili kulinda na kutunza mazingira.
Kauli mbiu ya Tamasha hilo ni ''zima mkaa wa kuni washa Rafiki Briquettes''