Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

State Mining Corporation

State Mining Corporation

News

MKAA MBADALA WA STAMICO Rafiki Briquettes WAPATA LESENI YA UBORA


Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limepokea leseni ya ubora kwa bidhaa yake mpya ya Mkaa Mbadala wa kupikia wa Rafiki Briquettes kutoka Shirika la Viwango la Taifa (TBS)


Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO Bw. Deusdedith Magala ndiye aliyepokea leseni hiyo kwa niaba ya Shirika kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa TBS Dr. Ngenya A.Y