Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

State Mining Corporation

State Mining Corporation

News

STAMICO YASHIRIKI VYEMA SHEREHE ZA MEI MOSI 1, MEI 2023


Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeshiriki vyema siku ya Wafanyakazi Dunia katika Mikoa minne kwa mara moja.

Mikoa ambayo STAMICO imeungana na wafanyakazi wengine wa Tanzania kusherekea siku hiyo ni pamoja ma Mkoa wa Dodoma, Dar es Salaam, Morogoro na Songwe.

Kupitia Siku hiyo Shirika limeweza kutangaza Nishati mbadala ya kupikia ya Rafiki Briquttes.

Kauli mbiu ya Maadhimisho mwaka huu ni “ Mishahara Bora na Ajira za staha ni Nguzo kwa Maendeleo ya Wafanyakazi, Wakati ni sasa”