Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

State Mining Corporation

State Mining Corporation

News

STAMICO YANADI FURSA ZA UWEKEZAJI


Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) tarehe 23 Agosti 2023 ilishiriki Kongamano la kutangaza fursa za uwekezaji kupitia mikutano ya B2B, Mkutano huo uliofanyika Ruangwa, Lindi.

Aidha STAMICO iliwakilishwa na Meneja Uwezeshaji Uchimbaji Mdogo Bw. Tuna Bandoma , ambaye alizinadi fursa mbalimbali za uwekezaji za STAMICO.