News
WIKI YA MADINI NA KONGAMANO LA WACHIMBAJI WA MADINI
Shirika la Madini la Taifa(STAMICO) linashiriki katika Maonesho ya Wiki ya Madini na Kongamano la Wachimbaji wa Madini linalofanyika katika Viwanja vya Rock city Mall, Mwanza kuanzia tarehe 03/05 hadi tarehe 10/05/ 2023. Katika Maonesho haya Shirika linaonesha bidhaa,huduma na shughuli zake mbalimbali inazozifanya. Maonesho haya yamefunguliwa rasmi leo tarehe 04/05/2023 na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Dkt. Adam Malima