News
WIKI YA MADINI NA KONGAMANO LA WACHIMBAJI WA MADINI
Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO Dkt Venance Mwasse akitembelea Mabanda mbalimbali katika Maonesho ya Wiki ya Madini yanayoendelea katika Viwanja vya Rock city, Mwanza.