Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

State Mining Corporation

State Mining Corporation

News

UTEUZI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Venance B. Mwasse kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO). Kabla ya uteuzi huu Dkt. Mwasse alikuwa anakaimu nafasi hiyo.